Tuesday, April 24, 2012

MWANAMKE NA POCHI..


Pochi ni sehemu muhimu sana katika
maisha ya mwanamke. Pochi zipo za
aina, rangi, ukubwa na matumizi mbali
mbali. Ni nadra sana kukutana na binti
au mama anayetembea bila pochi, na
kwa wengine maisha yao yote wanatembea nayo kwenye pochi. Kuna vitu muhimu ambavyo ni lazima
kila mwanamke akumbuke kutembea
navyo kwenye pochi, na kuna vingine
ni vyema kuwa navyo lakini sio lazima. Muhimu 1. Pini
2. Sindano na uzi
3. Vifungo
4. Dawa yoyote ambayo unaitumia na
kuihitaji
5. Kitambulisho 6. Pedi
7. Kalamu na notebook Ukipenda 1. Perfume
2. Lip shiner / lip stick
3. Poda
4. Kitana
5. Khanga / mtandio
6. Kadi ya benki 7. Sandals kama unavaa viatu virefu

No comments:

Post a Comment