Friday, August 31, 2012

IFANYE SHEREHE YAKO IVUTIE KWA KEKI YENYE MVUTO
MWANAMKE POCHI


Pochi hizi ni maalum kwa mitoko ya hapa na pale
 


 Ewe dada au mama usihangaike na begi kubwa pindi unapokuwa na safari ndogo,aina hizi za pochi zitkufaa sana. Jaribu kwenda na wakati!Pochi zinakufaa sana kwa kuhifadhia vifaa vyako vidogo vidogo,kama make-up,simu,kikontena cha chakula,upande wa khanga tayari kwa ofisini.

Wednesday, August 29, 2012

MWANAMKE IFANYE SHINGO YAKO IWE NA MUONEKANO MZURIVAA KIATU KULINGANA NA MAZINGIRA


 Viatu maalum kwa ofisiniViatu maaalum kwa mazingira yoyote isipokuwa ofisini
 Viatu vya mwaanmke maalum kwa mtokoViatu maalum kwa mizunguko ya hapa na pale kwa kina wanwake