Friday, August 31, 2012
MWANAMKE POCHI
Pochi hizi ni maalum kwa mitoko ya hapa na pale
Ewe dada au mama usihangaike na begi kubwa pindi unapokuwa na safari ndogo,aina hizi za pochi zitkufaa sana. Jaribu kwenda na wakati!
Pochi zinakufaa sana kwa kuhifadhia vifaa vyako vidogo vidogo,kama make-up,simu,kikontena cha chakula,upande wa khanga tayari kwa ofisini.
Wednesday, August 29, 2012
VAA KIATU KULINGANA NA MAZINGIRA
Viatu maalum kwa ofisini
Viatu maaalum kwa mazingira yoyote isipokuwa ofisini
Viatu vya mwaanmke maalum kwa mtoko
Viatu maalum kwa mizunguko ya hapa na pale kwa kina wanwake
Subscribe to:
Posts (Atom)