Ukiwa n mtoko wa jioni vaazi au sherehe vazi hili litakufaa sana
Ukiwa unatoka,mtoko wa jioni vazi hili linafaa sana na litakufanya uonekane nadhifu
Ukiwa kama mama vazi hili linkufaa kwenda nalo mahali popote
Vazi hili litamfaa zaidi mdada anapokuwa anahudhuria sherehe kama kitchen party
Mama huyu yuko tayari kuhudhuria sehemu yoyote ile,iwe sherehe,mikutano,kanisani na sehemu yoyote ile katika jamii
Muonekano bora wa mama wa kiafrika
Je,unataraajia kuwa naa sherehe ya send off hivi karibuni? vazi hili litakufaa sana ewe bibi harusi mtarajiwa
No comments:
Post a Comment