Monday, August 27, 2012

HATA UKIVAA NGUO NDEFU UTAPENDEZA TU!!

 Unaweza kutoka nayo poa!
 Kama mdada huyu alivyopendeza!
 Popote inafaa!
 Hata ufukweni,sio lazima uvae nguo fupi!

Mtaani pia inafaa na utapata heshima kubwa!

No comments:

Post a Comment